SERIKALI YATENGA BILIONI 4.4 KUBORESHA MIUNDOMBINU HOSPITALI YA RUFAA YA JESHI LUGALO

Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa kiasi cha Bilioni 4.4 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutolea Huduma za Radiolojia, jengo la kufua hewa ya oksijeni pamoja na uboreshaji wa huduma za dharura na wagonjwa mahututi katika Hospitali Rufaa ya Jeshi Lugalo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya